The National Muslim Council of Tanzania

BARAZA KUU LA WAISLAMU TANZANIA

Mfumo wa Maombi ya Uongozi wa Bakwata

MUONGOZO WA MATUMIZI Rudi
Kwa jina la Mwenyezi Mungu Mwingi wa Rehema Mwenye Kurehemu.

Mfumo wa Maombi ya Nyaraka na Vyeti wa Bakwata ni mfumo wa kidijitali unaomilikiwa na BARAZA KUU LA WAISLAMU TANZANIA. Mfumo huu ni mahsusi kwa ajili ya kuwawezesha waislamu na Taasisi zenye nia ya kuutumikia uislamu kupitia taasisi ya BAKWATA kuomba vyeti na nyaraka mbalimbali kupitia mtandao.
Angalizo: Utambuzi wa maombi unafanyika kupitia simu ya muombaji. Hivyo hakikisha unatumia namba sahihi wakati wa kufanya maombi

GHARAMA ZA VYETI NA NYARAKA

# AINA YA CHETI/NYARAKA GHARAMA
1. FOMU YA KUOMBA UONGOZI WA BAKWATA NGAZI YA MSIKITI 2,000
2. FOMU YA KUOMBA UONGOZI WA BAKWATA NGAZI YA KATA 5,000
3. FOMU YA KUOMBA UONGOZI WA BAKWATA NGAZI YA WILAYA 10,000
4. FOMU YA KUOMBA UONGOZI WA BAKWATA NGAZI YA MKOA 15,000

Kwa Mawasiliano zaidi, tafadhali tupigie kupitia Simu 0717 011207 au 0764 244867
Tovuti: www.bakwata.or.tz, Barua Pepe: info@bakwata.or.tz